Wachezaji wa Netiboli Rehema Juma wa timu ya Sebico kutoka Sengerema (wa pilikushoto) na Hadija Msafiri wa Magereza Morogoro (wa pili kulia) wakiruka kuwania mpira wakati wa mchezo wa Ligi Daraja la Pili ngazi ya Taifa, uliochezwa kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam, leo. Katika mchezo huo Magereza Morogoro walishinda mabao 53-28.
wachezaji wa Netiboli timu za Bandari na Pamoja Queens, wakichuana katika mchezo wa Ligi Daraja la Pili kwenye Uwanja wa JK Yourth Kidongo Chekundu leo mchana. Katika mchezo huo Bandari walishinda mabao 67-17.
No comments:
Post a Comment