Aliyekuwa Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama, afafiki Dunia. Habari zinasema kuwa Mbunge huyo alifika mjini Songea jana na usiku alianza kujisikia vibaya na kukimbizwa Hospitali ya mkoa Peramiho na ndipo madaktari walithibitisha kifo chake, kilichotokana na Presha.
KAA NASI TUTAENDELEA KUWAJUZA KDRI HABARI ZITAKAVYOTUFIKIA.
No comments:
Post a Comment