Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Japan nchini
Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini
Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa
Baseball.
Balozi
wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kushoto) akifafanua jambo
wakati wa maongezi na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt.
Harrison Mwakyembe (kulia) leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia
michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball. Picha na:
Genofeva Matemu - WHUSM
No comments:
Post a Comment