Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki
Ulisubisya akiwakabidhi vyeti watumishi watatu wa Sekretarieti ya pamoja kwa
kutambua michango yao kwa kipindi chote cha utumishi wao wakati wa Mkutano wa
robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya afya uliofanyika leo jijini Dar es
salaam.

Ulisubisya akiongea na baadhi wadau wa maendeleo,wadau wa sekta ya afya wa
Serikali na Binafisi na Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali kutoka Wizara ya Afya
hawapo pichani wakatri wa Mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya
afya uliofanyika leo jijini Dar es salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki
Ulisubisya katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi wadau wa
maendeleo,wadau wa sekta ya afya wa Serikali na Binafisi na Wakurugenzi wa
vitengo mbalimbali kutoka Wizara ya Afya hawapo pichani wakatri wa Mkutano wa
robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya afya uliofanyika leo jijini Dar es
salaam.
Baadhi wadau wa maendeleo,wadau wa sekta ya afya wa Serikali na Binafsi na Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali kutoka Wizara ya Afya wakifuatilia kwa makini maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya hayupo pichani wakati wa Mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya afya uliofanyika leo jijini Dar es salaam.

********************************************************
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Mpoki
Ulisubisya ameongoza mkutano wa robo mwaka wa kitaalam katika sekta ya Afya
unaowaleta pamoja Serikali ,wadau wa maendeleo,Sekta binafsi na Asasi za kiraia.
Leongo la mkutano huo ni kuangalia
utekelezaji wa maazimio ya pamoja na kuandaa mipango mipya ya utekelezaji wa
mpango mkakati wa sekta ya afya wan ne kupitia vikundi kazi 11 vya kilaam.
Pia watumishi watatu wa
Sekretarieti ya pamoja wametunukiwa vyeti kwa kutambua michango yao kwa kipindi
chote cha utumishi wao ambao ni Dkt. Oberlin Kisanga ,Dkt. Anna Nswila na Dkt.
Didace Mutagwaba.

No comments:
Post a Comment