Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri
ya Wilaya ya Chato katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Chato mkoani Geita. Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Chato
Eng. Mtemi Msafiri Semeon(kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud
Mwaiteleke(kulia).




No comments:
Post a Comment