Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi akitangaza majina ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa
Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji walioteuliwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam leo
tarehe 13/08/18. PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment