Menu

▼

Wednesday, November 20, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MSAMVU MKOANI MOROGORO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Msamvu mkoani Morogoro mara baada ya kusimama wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Dodoma. 
Sehemu ya Wananchi wa Msamvu mkoani Morogoro waliokuwa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara aliposimama katika eneo hilo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment