Wanachama wa NMB jogging club, ambao pia ni wafanyakazi wa benki hiyo wakishiriki mazoezi ya viungo na baadhi ya wanachama wa Wasafi Jogging Club jijini Dar es Salaam, wiki iliyopita.![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiyuxwbJtBAI5xzfKHMEM7SFJwgP_MlQK1votts6bnneWBSntIp5-SugLH4XIjL1ThjKEIWzddXSJT5NaMcL2bvvVvNyYbqWIi79So71iaO0ilCAaB0WMLD9mSTnSjaqOGa7nE8FGg_Bd0/s640/042A7167.JPG)
Wanachama wa NMB Jogging Club, wafanyakazi wa benki hiyo wakishiriki mbio za Wasafi Jogging Club zilizofanyika jijini Dar es Salaam, wiki iliyopita kama sehemu ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya Kii Marathon yanayotarajia kufanyika mapema mwezi ujao mkoani Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment