Habari za Punde

HIYO SIMBA 'KWIO' MATUKIO YA PCHA ZA MTANANGE WA YANGA VS SIMBA 2020

 Kiungo wa Simba Francis Kahata (kulia) akijaribu kumshika ili kumzuia Kiungo wa Yanga, Haruna Niyinzima, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga ilishinda bao 1-0 lililofungwa na Bernald Morrison kwa mpira wa adhabu baada ya yeye mwenyewe kuchezewa faulo na Jonas Mkude katika eneo la nje kidogo ya 18.
 Bernald Morrison (katikati) akijaribu kupita katikati ya mabeki wa Simba Pascal Wawa na Shomari Kapombe, wakati wa mchezo huo.
 Kipa wa Simba Aishi Manula, akiruka kujaribu kuokoa mpira wa adhabu uliopigwa na Morrison bila mafanikio.
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao la Morrison.
 Morrison akishangilia bao lake.
Hatari langoni mwa Simba.

Faulo.

Haruna Niyonzima akiweka mpira ili kupiga kona. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA

Beki wa Yanga Jaffar, akipiga krosi
Patrick Tshishimbi akifanya yake....
Hatari langoni mwa Yanga.....

Ditram Nchimbi wakimtoka beki wa Simba, Pascal Wawa
AKipiga krosi
Haruna Niyonzima akimtoa Chama...
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Simba.
Timu zikiingia uwanjani

Kocha wa Yanga akiingia uwanjani na kugusa mpira huku akiomba dua
Mashabiki wa Simba wakishangilia kabla ya mchezo kuanza.
Mashabiki wakiwa nje ya uwanja
Msongamano wa mashabiki nje ya uwanja
Mashabiki wa Yanga wakijiselfie
Upande mmoja furaha na upande mwingine huzuni
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi.
Mashabiki wa Simba, wakiwa na huzuni
Askari wakimdhibiti shabiki
Kocha wa Yanga akijaribu kumgombelezea shabiki aliyekuwa akidhibitiwa na askari Polisi.
Kocha wa Yanga akisalimiana na mashabiki wake.
Feysal Toto akishangilia
Erasto Nyoni, akisaidiwa kutembea baada ya kumalizika kwa mtanange huo alipoumia katika kipindi cha kwanza na kufanyiwa sabu.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.