Habari za Punde

WLAC WAFUNDA VYAMA VYA WAAJIRI NA WAFANYAKAZI.


 Mkurugenzi wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC) Theodosia Muhulo (kushoto)  akifungua rasmi mafunzo ya Uhamasishaji kwa Wadau wa Sekta za ajira nchini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo asubuhi ili kuwawezesha kujua haki na sheria za ajira ili wawee kusimamia sheria za ajira katika Vyama vyao vya Wafanyakazi. (Picha na Muhidin Sufiani)
 Mratibu wa Mradi wa Uwezeshaji Jamii kuhusiana na Haki na Sheria za Ajira, Consolata Chikoti, (Mwanasheria) akifafanua jambo wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. Kaulimbiu ya Mafunzo hayo ni 'Ajira Sawa, Ujira Sawa'
 Mhadhiri mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es alaam, Dk. C.K Mtaki, akiendesha mafunzo hayo kwa washiriki kutoka Vyama vya Wafanyakazi na Vyama vya Waajiri (Association of Tanzania Employers ATE) wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo. 
 Washiriki wakifuatilia mafunzo hayo.
Picha ya pamoja baada ya kumalizika mafunzo hayo.

Mahojiano baada ya kumalizika mafuzno hayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.