Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AONGOZA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA KISOMA CHA HITMA KUMUOMBEA MAREHEMU MWALIMU ABUU MASJID SHIFAA MUEMBETANGA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea marehemu Sheikh.Abubakar Said Alhashimy (Mwalimu Abuu) iliyofanyika katika Masjid
 BAADHI ya Viongozi wa Dini na Wananchi wakishiriki katika Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Marehemu Sheikh Abubakar Said Alhashimy, iliyofanyika jana usiku 10-6-2023, katika Masjid Shifaa Muembetanga Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.