Habari za Punde

VITUO VYA AFYA KIWALANI NA KIPUNGUNI VYAPOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAGONJWA

 Mkuuwa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (wa pili kushoto) akipokea sehemu ya msaada wa Vitanda vya wagonjwa kutoka kwa Meneja Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Ferdinand Mpona, wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Hospitali kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni vyenye thamani ya Tsh. milioni 25, iliyofanyika katika kituo hicho kipya cha Afya kilichopo Kiwalani jijini Dar es salaam, jana. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kiwalani, Kafana Mukata (wa pili kulia) ni Menaja wa NMB Ilala, CHristine Lifiga (katikati) ni Mganga Mkuu wa Jiji, Zaituni Hamza na Katibu wa CCM Kata ya Kiwalani, Bi Mzungu

Mkuuwa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo,  akimkabidhi sehemu ya msaada wa Vitanda vya wagonjwa, Mganga Mkuu wa Jiji, Zaituni Hamza, wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Hospitali kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni vyenye thamani ya Tsh. milioni 25, iliyofanyika katika kituo hicho kipya cha Afya kilichopo Kiwalani jijini Dar es salaam, jana. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kiwalani, Kafana Mukata(katikati) wanaopiga makofi ni Meneja Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Ferdinand Mpona na Menaja wa NMB Ilala, CHristine Lifiga (kulia) ni Mganga Mfawidhi Kiwalani, Dk. Neema Mtobesya.
Mkuuwa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (wa pili kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa Vitanda vya wagonjwa, Diwani wa Kata ya Kiwalani, Kafana Mukata, wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Hospitali kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni vyenye thamani ya Tsh. milioni 25, iliyofanyika katika kituo hicho kipya cha Afya kilichopo Kiwalani jijini Dar es salaam, jana. Katikati ni Meneja Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Ferdinand Mpona.
Mkuuwa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (wa pili kushoto) akimkabidhi sehemu ya msaada wa Vitanda vya wagonjwa, Daktari mkuu wa kituo cha Afya Kipunguni, Dk Fikiri Manyama, wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Hospitali kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni vyenye thamani ya Tsh. milioni 25, iliyofanyika katika kituo hicho kipya cha Afya kilichopo Kiwalani jijini Dar es salaam, jana. Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kiwalani, Kafana Mukata, Katikati ni Meneja Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Ferdinand Mpona (kulia) ni Mganga Mkuu wa Jiji, Zaituni Hamza.
Menaja wa NMB Ilala, CHristine Lifiga, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa vitanda vya wagonjwa kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni. 
Menaja wa NMB Kanda ya Dar es Salaam, Ferdinand Mpona. akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa vitanda vya wagonjwa kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni. 
Mkuuwa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa vitanda vya wagonjwa kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni. 
Mganga Mkuu wa Jiji, Zaitun Hamza, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa vitanda vya wagonjwa kwa Vituo viwili vya Afya Kiwalani na Kipunguni. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.