Habari za Punde

Mbunge akiwahi kengere ya tatu kabla ya kuanza Kikao cha Bunge.

Sijui nitawahi?, kuingia wa mwisho noma....Mbunge wa Magu, Dk. Festus Limbu, akitimua mbio nje ya Ukumbi wa Bunge kuwahi kuingia ndani ya Ukumbi mara baada ya kengere ya mwisho kugongwa kabla ya kuanza kwa Kikao cha Bunge mjini Dodoma le0. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.