Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi, Mwantum Mahiza (kulia), akisalimiana na Mkurugenzi wa Ushirikiano PSI Tanzania, Marry Mwanjelwa, kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Mwanjelwa na ujumbe wake walifika kuhudhulia kuwasilishwa kwa Hotuba ya bajeti ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ayfa na Uastawi wa jamii, iliyowasilishwa leo. Picha na (SPM)
BAFANA BAFANA YAANZA VYEMA AFCON, YAICHAPA ANGOLA 2-1
-
TIMU ya Afrika Kusini imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya jirani zao,
Angola katika mchezo wa Kundi B Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika
(AFCON)...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment