Mmetuona? J-mosi hapatoshi

Hawa ni baadhi ya warembo wanaotarajia kupanda jukwaani jumamosi kwenye Ukumbi wa TCC Chang'ombe, Redds Miss Temeke, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya maandalizi ya kinyang'anyiro hicho, kitakachofanyika Agosti 1. Wadhamini wa shindano hilo ni Redds, Vodacom Tanzania, Aurora Security, Gazeti la Jambo Leo, Sofia Recordings, 88.4 Clouds FM, Mwasu Fashions, 100,5 Times FM, Screen Masters, Valley Springs, Renzo Salon, Mariedo Boutique, I-View Photography na mwanamitindo Ally Rhemtullah. Picha na (SPM)
No comments:
Post a Comment