Habari za Punde

Abdallah Majula katika pozi la picha

We Sufianimafoto, hili ndo pozi la kuuzia nyago ole wako nisionekane kunako lialbam lako he! Ukisikia sauti yake na ukiona sura yake unaweza usiamini kuwa ndiye hasa unayemsikiaga kunako Redio na hasa BBC, huyu si mwingine ni Abdallah Majula, akila pozi kali la picha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.