Habari za Punde

Flora Nducha akiwa na mumewe mtarajiwa Aworle

Hili ni bonge la kolabo mazeee! Ushirikiano si tu kwa wafanyabiashara wa Afrika Mashariki bali hata namna hii ni powaaaaaa. Flora Ndicha, akiwa na mumewe mtarajali, Aworle, wakati wa sherehe ya kuagwa, ambapo leo wanatarajia kufunga pingu za maisha katika Kanisa la ...nimesahau, nchini Kenya.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.