Habari za Punde

Hasheem akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu Dar

Pamoja na kuruka yaani bado sijakufikia, haya we funga tu bwana..... Hasheem akijiandaa kutumbukiza mpira katika ring, wakati alipokuwa kwenye mazoezi na vijana wenzake kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu Dar leo jioni. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.