Mkungu wa Ndizi hata Hasheem Thabeet haoni ndani duh! Huu ni moja kati ya mikungu ya ndizi aina ya Matoke, inayopatikana kwenye Kijiji cha Kwamadebe, Wilaya ya Kondoa, ukiwa kwenye maonyesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Wakulima (Nanenane) yanayoendelea Mkoa wa Dodoma. Mkungu huu ulikuwa ukiuzwa kwa Sh 15,000. Picha na (SPM)
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 17, 2024
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 17,
2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na
za nyuma za M...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment