Habari za Punde

Martha Mlata ampongeza Flora Nducha

Hongera sana mdogo wangu kwa hatua uliyofikia kaitunze ndoa yako isijeingia DOA eeeh....Huyu ni Mbunge wa Viti Maalum, Martha Mlata, akiteta jambo na Flora, wakati wa muda wa kutoa zawadi na mkono wa pongezi kwa mtangazaji huyo mahiri na mkongwe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.