Mwandishi wa habari wa gazeti la The Citzen, Benard Mapalala, na Mkewe, Clara Ghati, wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga ndoa katika kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay hivi karibuni. Tafrija ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Picha na (SPM)
EYONG AFUNGA BAO PEKEE CAMEROON YAICHAPA GABON 1-0
-
BAO la dakika ya sita la mshambuliaji wa Levante ya Hispania, Karl Edouard
Blaise Etta Eyong limeipa Cameroon ushindi wa 1–0 dhidi ya Gabon katika
mchezo...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment