Habari za Punde

RAMADHANI NJEMA KWA WAFUNGAJI WOTE DUNIANI

Mwezi huu si mgumu, wagumu watu bwana... Sufianimafoto inapenda kuwatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, tumche mungu kwa ukweli wa kumcha na mema yasiwe ndani ya mwezi huu pekee, kwani mungu yupo miezi yote, Ramadhan Kareem. Picha na Mtandao

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.