Habari za Punde

Waendesha pikipiki wa Dar kwenda Nairobi

hata sisi tunaweza, watatukoma Nairobi....Mwendesha pikipiki wa Kambi ya Ilala, Ludan Volvo, akionyesha umahiri wake wa kucheza na pikipiki, wakati alipokuwa kwenye mazoezi ya kujiandaa na michuano ya mchezo huo yanayojulikana kama, African Motorcross Championship, yanayotarajia kufanyika Agost 29 na 30 mwakaka huu Nairobi Kenya. Volvo na wenzake, Rashid Kiparacha, na Rajab Kitimtim, wanaondoka nchini leo kuelekea Nairobi, kushiriki mashindano hayo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.