Kinga grass yako mwana wane hata mie naweza siku hizi, ulivyoniacha sikuwa hivi......

Kila kona ya ukumbi huo ilizungukwa na wataalam na wapambe wa Flora, na hata katika baadhi ya waendesha shughuli yake hakutaka kujiangusha aliwapendekeza wale haswa anaowajua kuwa wanaweza, hapa ni mtangazaji wa Redio One, Regina Mwalekwa, ambaye alikuwa ni Msema chochoe katika shughuli hiyo (MC), ambaye pia alikuwa ni miongoni mwa wataalam waliofungua Shampeni, akimminia katika grass tayari kwa kugonganiasha. Si huyu pekee kwani hata Mpiga picha za mnato hakuwa mwingine bali ni lile Gwiji la Mafoto, Sufianimafoto ambaye ni mpiga picha wa Magazeti ya New Habari kama MTANZANIA, The AFRICAN, BINGWA na DIMBA, na upande wa Video alikuwa ni Hamiss Kibari, ambaye pia ni mhariri katika moja ya gazeti ya kampuni yaGuardian Ltd.
No comments:
Post a Comment