Habari za Punde

BUNGE LASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO NA TAASISI YA KITUO CHA BUNGE.

Makubaliano.....Kaimu Katibu wa Bunge, Jossey Mwakasyuka (kushoto), na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kituo cha Bunge kwa upande wa Afrika kilichopo nchini Ghana, Dk. Rasheed Draman, wakisaini mkataba wa miaka mitano wa makubaliano ya mafunzo ya uchambuzi wa Bajeti kwa Wabunge na wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.