Habari za Punde

Kaimu Katibu wa Bunge, Jossey Mwakasyuka (kushoto) na Mkurugwa Taasisi ya Kituo cha Bunge kwa upane wa AFrika, Dk. Rasheed Draman, wakisaini mkataba wa miaka mitano wa makubaliano ya mafunzo ya uchambuzi wa Bajeti kwa Wabunge na wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge, wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Waliosimama nyuma (kushoto) ni Msaidizi wa katibu wa Bunge, Emmanuel Mpanda na Ofisa Habari wa Bunge, Owen Mwandumbya. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.