Habari za Punde

FANYABIASHARA MKANADA ATAPELIWA MAMILIONI DAR

Amenitapeli lakini naondoka naenda Home Canada, kesi ikitajwa tena nitarejea...atanitambua....Mfanyabiashara raia wa nchini Canada, Jihad Waterman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, akitoa ufafanuzi kuhusu kiasi pesa Dola za Kimarekani, 1,250,000, anazodai kutapeliwa na aliyejiita mmiliki wa Kampuni ya Madini, aliyemtaja kwa jina la MAWAMBA'S, alizotoa kwa ajili ya kuwekeza katika Kampuni hiyo ya madini iliyopo nchini, ambapo kesi hiyo imefikishwa kwenye Mahakama ya wilaya ya Temeke na kusababisha vurugu kubwa baina yao. Kushoto ni msaidizi wake, Soud Salim. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.