Habari za Punde

Kaimu Katibu wa Bunge, Jossey Mwakasyuka (kushoto), akibadilishana mkataba wa miaka mitano makubaliano ya mafunzo ya uchambuzi wa Bajeti kwa Wabunge na wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kituo cha Bunge kwa upande wa Afrika, kilichopo nchini Ghana, Dk. Rasheed Draman, mara baada ya kusaini mkataba huo wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Waliosimama nyuma (kushoto) ni Mtaalam wa mambo ya Bajeti wa Kituo cha Bunge, Anthony Tsekpo na Ofisa Habari wa Bunge, Owen Mwandumbya. Picha na

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.