Habari za Punde

DEREVA WA GARI AENDESHA KIWA AMEVAA KOFIA YA PIKPIKI

Mwanawane siku hizi virungu na ajali havitabiriki, najihami kabisaaaaaaa......... Dereva wa gari ndogo ambaye hakuweza kufahamika jina lake, akiwa ndani ya gari hiyo huku akiwa amevaa kofia ya kuendeshea pikipiki, wakati akisukumwa kuingia kituo cha mafuta Tegeta Dar es Salaam jana. Haikuweza kufahamika sababu za dereva huyo kuvaa kofia hiyo na kuendesha gari. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.