Habari za Punde

Simba yaendeleza Ubabe Uwanja wa Uhuru

Hata kama we wajiita Gaucho hapa hupiti, sidanganyiiiiiki..................... Mshambuliaji wa timu ya Manyema Rangers, Ally Mohamed 'Gaucho' (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Simba, Kelvin Yondan, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini dar es Salaam jana. Simba ilishinda 2-0. Picha na (SPM). Wakati huo huo Yanga nayo yazinduka yaanza ligi mbele ya mfadhili wao Yusuph manji, huko Morogoro baada ya kuichapa Mtibwa Sugar kwa bao 2-1, mchezo ulichezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini mjini humo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.