Habari za Punde

Chui ni rafiki wa binadamu kwa sasa Serengeti wamemfundisha kuishi na watu, teh teh teh....Afisa Habari wake, Teddy Mapunda, (kulia) akipozi na mwandishi wa habari wa gazeti la The African, Sidi Mgumia, mara baada ya hafla ya uzinduzi wa Tangazo jipya la Bia ya Serengeti, iliyofanyika kwenye Hoteli ya New AFrica jana jioni. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.