Habari za Punde

Mshambuliaji, Beki wote wakifumba macho, nani mkweli?

Duh! sijui nitauona huu mpira? naruka ushahidi tu................ Mshambuliaji wa timu ya Tanzania Prisons ya Mbeya, Msengi Selemani (mbele) akiruka juu kuwania mpira wa kichwa na beki wa Moro United, Said Kokoo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, uliochezwa hivi karibuni kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, huku wote wakiwa wamefumba macho. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.