Habari za Punde

Miss Tanzania wapewa Semina ya Utalii wa ndani

Inabidi muelewe zaidi Historia ya Utalii wa ndani jamani eeeeh......Ofisa Utalii wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Ernest Mwamwaja, akifafanua jambo kuhusu Vivutio vya Utalii, wakati wa Semina iliyoandaliwa na Wizara hiyo maalum kwa ajili ya Warembo kujifunza Utalii wa ndani, iliyofanyika kwenye Kambi ya Miss Tanzania Giraffe Hotel Mbezi Beach Dar es Salaam jana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.