Habari za Punde

Warembo wa VODACOM Miss Tanzania watembelea Kiwanda cha Bia TBL

Sikilizeni kwa makini historia ya kiwanda chetu kinachotengeneza Bia muipendayo ya REDD'SOfisa Utengenezaji wa Taifa katika Kiwanda cha Bia TBL,Justino Jekela, (kulia) akizungumza na warembo washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzani, wakati walipofika kwenye kiwanda hicho leo mchana kwa ajili ya kutembelea na kujifunza mambo kadhaa yanayohusiana na kiwanda hicho. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.