Nkamateni huyooo,ataka kufanya vurugu ya nini tenaa wakati kawaiba kweli??????

Wakazi wa mjini Zanzibar, eneo la Majanini Msikitini, wakimdhibiti kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake, aliyekuwa ajiribu kufanya vurugu baada ya kuzongwa kwa madai ya kuiba Kobe wakubwa 16, katika Kisiwa cha Utalii cha 'Prisner Island', wakati akijaribu kutafuta usafiri wa kuwatoa eneo hilo kuelekea kwa mteja wake. Vijana hao wameulalamikia uongozi wa Kisiwa hicho kwa kuwakamata mara kwa mara vijana hao kila unapotokea wizi wa kobe hao bila kufanya uchunguzi wa kina. Picha na (SPM)
No comments:
Post a Comment