Habari za Punde

Kobe wakamatwa Ufukweni zanzibar

Si Pembe za Ndovu pekee hata Kobe nao dili...Baadhi ya Kobe walioibiwa kwenye Kisiwa cha Utalii cha Prisner Island, kilichopo mjini Zanzibar, wakiwa kwenye boti iliyowasafirisha kutoka kwenye Kisiwa hicho, baada ya kukamatwa na vijana waeneo la Ufukweni hapo juzi. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.