Habari za Punde

Jitahidini jamani mkimaliza mwaweza kuja tukajoin kishkaji hapa angalieni kwa makini...Ofisa Utengenezaji wa Bia katika Kiwanda cha TBL, Cavin Nkya, akiwaelekeza jambo warembo wa shindano la Vodacom Miss Tanzania, wakati walipotembelea kwenye Kiwanda hicho jijini Dar es Salaam leo mchana kwa ajili ya Ziara ya kimafunzo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.