Habari za Punde

Pozi la pamoja katika picha nani mkali?????????Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani Oktoba 2, kuwania Taji la Vodacom Miss Tanzania, wakipiga picha ya pamoja wakati walipokuwa ndani ya Kiwanda cha Bia cha TBL, walipokuwa katika ziara yao ya kimafunzo leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.