Habari za Punde

Vodacom Miss Tanzania wakiwa Safarini katika Utalii

He he he! nasi tumefika mlimani japo kupanda kaziiiiii, hatufiki mwisho... Baadhi ya warembo wanaotarajia kuwania Taji la Vodacom Miss Tanzania 2009, wakifurahi kwa pamoja mara baada ya kufika kwenye hatua ya kwanza wakati wakipanda Mlima, ikiwa ni moja kati ya safari zao za kutembelea Vivutio vya Utalii nchini. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.