Habari za Punde

Warembo wapagawa na gazeti la BINGWA

Duh! cheki pozi la nanihiii, aaai na huyu naeeee........Baadhi ya Warembo wanaotarajia kushiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009, wakisoma gazeti la Bingwa wakati wa walipokuwa kwenye Kambi yao iliyopo Hoteli ya Giraffe jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.