Habari za Punde

Akudo waendeleza sebene, hawana mfungo wa Ramadhan

Si tunabeta tuuuu, na masebene ya kufa mutu au vipi bashabiki yetuuuuu......, mukuye muoneWanenguaji wa bendi ya Akudo Impact, wakishambulia jukwaa wakati wa onyesho lao lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Mango Garden kinondoni jijini Dar es Salaam. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.