Habari za Punde

Mashabiki wachenguka ukumbini

Jamani tutoeni kimasomaso basiiiiiiii.............................Mashabiki wa Tanzania wakiwa na bendera ya Taifa katika umbi wa mashindano ya Kimataifa ya Kumtafuta Mkali wa Kimataifa wa Malta Street Dance, ambapo Tanzania iliwakilishwa na kundi la Best Frieds kutoka Temeke. Mashindano hayo yalifanyika mjini Narobi mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.