Habari za Punde

Wawakilishi wa Tanzania katika Malta Streeta Dance, wachengua mashabiki

Tumeshindwa lakini tumekonga washkaji...si mnajua wafilipino ka wachina wanavyojibenjua.....Wasanii wa Tanzania, wawakilishi pekee katika mashindano ya Malta Street Dance, wakiwa na bendera ya Tanzania mara baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika Jijini Nairobi mwishoni mwa wiki. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.