Habari za Punde

Wafilipino watwaa kombe la Malta Street Dance 2009

Tumewanyanyasa home kwao duh!.....lakini nao wanatisha kinoma.....Mabingwa wa Malta Street Dance International 2009, kundi kutoka nchini Ufilipino wakiwa katika picha ya pamoja na kombe lao na mfano wa hundi wa dola 25,000 walizokabidhiwa na waandaaji wa Mashindano hayo kampuni ya Bia Afrika Mashariki (EABL) mjini Nairobi mwishoni mwa wiki. Picha na (SPM).

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.