Habari za Punde

VODACOM FOUNDATION YAFUTURISHA YATIMA BUKOBA

Ahsanteni Vodacom Mtandao wa Watu.......Baadhi ya watoto yatima wa mjini Bukoba, wakifutaru kwa pamoja katika hafla iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi misaada kwa watoto hao. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.