Habari za Punde

Vodacom watangaza zawadi za washiriki wa Vodacom Miss Tanzania

Pokea funguo za gari la Mrembo wako wa mwaka 2010....Mkurugenzi Mkuu wa Shivacom, Parthban Chandra (kushoto) na Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Ephraem Mafuru, wakimkabidhi funguo ya gari jipya, Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, wakati wa hafla ya kutangaza zawadi za washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaamleo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.