Habari za Punde

Warembo 30 na ushindani wa gari moja

Nani kunyakua funguo za gari hili Oktoba 2?......warembo wanaotarajia kushiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009, wakipozi mbele ya gari mara baada ya kutangazwa zawa za washiriki wa shindano hilo wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Girrafe Ocean View leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.