Habari za Punde

Warembo wa Vodaco Miss Tanzania wafurahia zawadi

Lodi Lofa yu wapi aokoe jahazi hili...Warembo 30 wote gari moja tu!......warembo wanaotarajia kushiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2009, wakifurahia zawadi ya gari baada ya kutangazwa zawadi za washiriki wa shindano hilo wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Girrafe Ocean View leo mchana. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.