Habari za Punde

Timu ya Taifa ya Netiboli yapiga hatua kiaina

Sijui wananielewa hawa, naona wamenitolea mimacho tuuuuu!Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya mpira wa Netiboli, Katherine Kapenta , akitoa maelekezo kwa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo, wakati wa mazoezi yao yanayoendelea kwenye kambi ya timu hiyo, iliyopo Kibaha Pwani leo. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.