Habari za Punde

*JAMANI TUWE NA MOYO WA HURUMA

Jamani tuwe na moyo wa huruma, mwenzio anapopatwa namatatizooooo! X- Mas njema Mama.... Huyu ni Mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi, Edwin Mujwahuzi, akitoa sadaka kwa mama asiyejiweza aliyekuwa pembezoni mwa Kanisa la Mtakatifu Joseph, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Sikukuu ya Krismas na wasiojiweza. Picha na (SPM)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.